Hii hapa orodha ya majina ya Walioitwa Kazini Walimu, Afya na Taasisi Mbalimbali Utumishi na Ajira Portal 2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 23-06-2022 na tarehe 05-04-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
TANGAZO LA KUITWA KAZINI CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM (29-05-2025) PDF 1
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA (29-05-2025) PDF 2
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA (29-05-2025) PDF 3
Soma zaidi:-
Leave a Comment