Nafasi za Mafunzo Ya Ukuzaji Ujuzi VETA Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) inatekeleza mradi wa
Ukuzaji Ujuzi nchini kwa kushirikiana na Shirikisho la Vyama Vya Wafanyakazi
Tanzania (TUCTA), Chama Cha Waajiri Tanzania (ATE), Shirikisho La Vyama vya
Wafanyakazi Denmark (DTDA) pamoja na Shirikisho la wenye Viwanda Vya
Denmark (Danish Industry) (DI).