Nafasi za Kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida amepokea kibali cha utekelezaji wa Ajira mpya katika mwaka wa fedha 2023/2024 na 2024/2025 kwa barua yenye Kumb. Na.FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 26/04/2025 na barua yenye kumb Na. FA.97/288/01/09 ya tarehe 25/06/2024, kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Hivyo, anapenda kuwatangazia watanzania wote wenye sifa kutuma maombi kwa nafasi zifuatazo.
Soma zaidi:-
Leave a Comment