Careers & Opportunities

Nafasi za Kazi Wilaya ya Bumbuli 2025

Nafasi za Kazi Wilaya ya Bumbuli 2025

Nafasi za Kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli amepokea kibali cha Ajira mpya kwa ikama ya mwaka 2024/2025 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye Kumb.Na.FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29/04/2025. Hivyo Watanzania wote wenye sifa wanatangaziwa kutuma maombi ya kazi kwa nafasi zifuatazo:-

Pakua PDF hapa

Soma zaidi:-

  1. NECTA Selection 2025 Uchaguzi
  2. Tamisemi Selection 2025 – Yote Unayopaswa Kujua
  3. Selection Form Five 2025 to 2026
  4. Selection Form Five 2025 – Jinsi ya Kuangalia Majina
  5. Nafasi za Kazi Wilaya ya Singida

Leave a Comment