Habari na Matukio WhatsApp
Careers & Opportunities

Nafasi za Kazi Impala Terminals

Nafasi za Kazi Impala Terminals

Nafasi za Kazi Impala Terminals Tunatafuta Operations Manager atakayeongoza na kusimamia shughuli mbalimbali za kila siku kama usafirishaji wa mizigo kwa barabara, mauzo ya nje, usafirishaji wa shehena za sulphur kwa wingi, masuala ya afya na usalama kazini (HSE), uzingatiaji wa viwango vya ISO, usimamizi wa ghala (ikiwa ni pamoja na usimamizi wa mizigo na bidhaa), ulinzi na rasilimali watu (HR). Tunahitaji mtu atakayehakikisha kazi zinaenda kwa ufanisi na kuweka mambo yote sawa katika upande wa kuingiza na kutoa bidhaa ndani ya eneo husika.

Bonyeza hapa kutuma maombi

Soma zaidi: MATOKEO YA USAILI WA VITENDO

Leave a Comment