Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2025 – Form Five Selection 2025/2026. Hongera kwa wahitimu wote wa kidato cha nne 2024! Kama umefaulu mtihani wa kuhitimu elimu ya sekondari (CSEE), sasa ni wakati wa kusubiri rasmi Selection za form five 2025. Habari njema ni kwamba Majina ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Tano 2025 Mkoa wa Dar es Salaam yanatarajiwa kutangazwa na TAMISEMI muda wowote.
Form Five Selection 2025/2026 Yatoka Lini?
TAMISEMI (Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa) hutangaza majina ya waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano na vyuo vya kati takribani miezi 4 hadi 5 baada ya kutangazwa kwa matokeo ya kidato cha nne (CSEE) na NECTA.
Kwa mwaka huu, Form Five Selection 2025/2026 inatarajiwa kutolewa Mei au Juni. Awamu ya pili ya uchaguzi wa wanafunzi huweza kutangazwa kuanzia mwezi wa Septemba.
Jinsi ya Kuangalia Form Five Selection 2025 Mkoa wa Dar es Salaam
Ili kuangalia kama umechaguliwa kujiunga na kidato cha tano mwaka 2023, fuata hatua hizi:
- Tembelea tovuti ya TAMISEMI: www.tamisemi.go.tz
- Bonyeza sehemu ya “Form Five Selection 2025”
- Chagua mkoa uliposoma – Mfano: Dar es Salaam
- Tafuta jina lako kwenye orodha ya waliochaguliwa.
Bonyeza hapa CHAGUA MKOA ULIPOSOMA kuangalia majina kwa kila mkoa.
Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Tano 2025
Wanafunzi waliopata alama kuanzia Division One hadi Three katika matokeo ya CSEE 2023 walikuwa na nafasi ya kuchagua kuendelea na masomo ya kidato cha tano kupitia mfumo wa Selform. Mfumo huu uliwapa wanafunzi uwezo wa kuchagua ama kuendelea na kidato cha tano au kujiunga na vyuo vya kati kulingana na ufaulu wao.
Majina ya waliochaguliwa yatakuwa wazi kupitia tovuti ya TAMISEMI. Barua za kujiunga na shule zitatolewa kupitia shule husika au kupatikana kwenye mfumo wa mtandao.
Muhimu: Kuhusu TAMISEMI
TAMISEMI ni chombo kinachosimamia maendeleo ya kiutawala na kiuchumi katika maeneo ya mikoa na halmashauri. Pia, inaratibu mchakato wa uchaguzi wa wanafunzi kujiunga na kidato cha tano na vyuo vya kati nchini Tanzania.
Tahadhari
Taarifa hii imetolewa kwa lengo la kutoa mwongozo tu. Kwa taarifa rasmi, tembelea tovuti ya TAMISEMI au NECTA:
Read also: