Follow WhatsApp Channel
Admission

Ada na Kozi zinazotolewa Chuo cha CBE, Sifa za Kujiunga 2025

Ada na Kozi zinazotolewa Chuo cha CBE, Sifa za Kujiunga

Ada na Kozi zinazotolewa Chuo cha CBE, Sifa za Kujiunga, Gharama fomu za kujiunga 2025 Tangazo la kujiunga na masomo ya cheti cha msingi (NTA level 4), cheti cha teknishani (NTA level 5), shahada ya kwanza, diploma ya juu ya utaalamu na shahada ya uzamili kwa mwaka wa masomo 2025/2026 (muda wa septemba)

Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) anawakaribisha vijana na wote wanaohitaji kujiunga na masomo katika kampasi zake zilizopo dar es salaam, dodoma, mwanza na mbeya kwa ngazi za cheti cha msingi (NTA level 4), cheti cha teknishani (nta level 5), shahada ya kwanza, diploma ya juu na shahada ya uzamili kwa mwaka wa masomo wa 2025/2026 intake ya septemba.

Kozi zinazotolewa Chuo cha CBE
Kozi zinazotolewa Chuo cha CBE

Kozi zinazotolewa CBE

Jinsi ya kutuma maombi CBE

Soma zaidi:

  1. Nafasi za Kazi Bagomoyo Sugar Tanzania
  2. Nafasi za Kazi Exim Bank
  3. Nafasi za Kazi LVFO Tanzania
  4. Nafasi za Kazi ActionAid Tanzania

Leave a Comment